Back to home
Walimu wa JSS wataka wasimamie sekondari msingi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 22, 2025
2h ago
Walimu wa shule za sekondari msingi (JSS) kutoka kaunti ya Kwale wameshinikiza serikali kutenganisha shule hizo kutoka shule za msingi ili kujisimamia kikamilifu.