Back to home
Tamasha ya ndege aina ya korongo yafanyika Kosirai, Nandi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 22, 2025
2h ago
Mamia ya wakazi wakiwemo vikundi vya jamii na wanamazingira katika Kaunti ya Nandi walijitokeza kuhudhuria tamasha ya kwanza ya ndege aina ya korongo kwenye maonyesho ya kipekee ya kitamaduni