Back to home
Wakazi wa Pokot magharibi wafunzwa mbinu za kupata faida kutokana na mifugo
video
C
Citizen TV (Youtube)September 22, 2025
2h ago
Wakazi wengi wa Pokot Magharibi bado huchukulia ufugaji kama utamaduni badala ya biashara, hali inayochangia kudorora kwa maendeleo na kuendeleza umaskini.