Back to home

Wadau wa sekta ya uchumi wa baharini wakongamana Mombasa

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 22, 2025
2h ago
Wadau katika sekta ya uchumi wa bahari na maziwa wamekongamana katika chuo kikuu cha mombasa Tum, kwa warsha na mafunzo kuhusu mbinu za kisasa za kutunza mazingira ya baharini. wanafunzi Zaidi ya 75 kutoka mataifa ya nje wanashiriki mafunzo hayo