Back to home
Serikali yatakiwa kukamilisha miradi ya maendeleo Machakos
video
C
Citizen TV (Youtube)September 22, 2025
2h ago
Gavana wa Kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti anaitaka serikali kuu kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Kaunti ya Machakos na Ukambani kwa jumla.