Back to home

Wakazi Kimilili washauriwa kutumia pikipiki za umeme ili kutunza mazingira

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 22, 2025
2h ago
Waendeshaji bodaboda wametakiwa kukumbatia bodaboda za umeme badala ya zile zinazotumia mafuta ya Petroli Kwa minajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.