Back to home

Walimu wa JSS kutoka Kwale wataka uhuru wa kujisimamia

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 22, 2025
2h ago
Walimu wa shule za sekondari msingi, JSS, kutoka kaunti ya Kwale wanataka kupewa uhuru wa kujisimamia, wakitishia kushiriki mgomo na kusambaratisha shughuli za masomo.