Back to home
Mbunge wa Teso Kaskazini Oku Kaunya ateuliwa kuwa msemaji wa Iteso
video
C
Citizen TV (Youtube)September 22, 2025
3h ago
Kama mojawapo ya njia za kuileta pamoja jamii yenye watu wachache na iliyotengwa ya iteso, wazee wa jamii hiyo wamemuidhinisha mbunge wa Teso Kaskazini Oku Kaunya kuwa msemaji wa jamii hiyo ili kupata usemi nchini.