Back to home

Uchaguzi mdogo wa kiti cha bunge ya Malava chakosa mwaniaji mwanamke na vijana

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 22, 2025
5h ago
Uchaguzi mdogo wa kiti cha bunge ya Malava kimekosa mwaniaji mwanamke na vijana. Wengi wa vijana wanasema wazee ambao wamechukua nafasi hizo ni kutokana na uwezo wa kifedha.