Back to home

Walimu wa shule za JSS katika kaunti ya Makueni waitaka serikali kerekebisha muundo wao

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 22, 2025
2h ago
Walimu wa shule za JSS katika kaunti ya Makueni sasa wanaitaka serikali kurekebisha haraka muundo wao ili kutenganisha shughuli zao na zile za shule za msingi.