Back to home
Mkutano wa wakulima wa kahawa Kisii wavunjwa kwa madai ya ubadhirifu wa shilingi milioni 2
video
C
Citizen TV (Youtube)September 29, 2025
2h ago
Wakulima wa Kahawa kutoka chama cha ushirika cha Nyakoe kaunti ya Kisii walivuruga mkutano wao wa kila mwaka kufuatia madai kuwa wanakamati walihusika na ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni mbili