Back to home
Polisi wanamzuilia mshukiwa akifanya biashara haramu Voi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 30, 2025
2h ago
Polisi mjini Voi kaunti ya Taita Taveta wanamzuilia mwanamume mmoja na anatarajiwa kufikishwa mahakamani hivi leo baada ya kupatikana akitengeneza pombe haramu na kuuza bila taratibu za kisheria.