Back to home
| Mwenge wa Kaunti | Mustakabali wa sekondari msingi [Part 1]
video
C
Citizen TV (Youtube)September 30, 2025
3h ago
Walimu wazua tetesi kuhusu usimamizi wa sekondari msingi
Walimu wataka watengwe na walimu wengine shuleni
Walimu wa JS wanadai muongozo shuleni unayumbisha CBE
Mtafaruku unaendelea kuathiri masomo ya wanafunzi