Back to home

Wakazi wa Shanzu Kisauni kaunti ya Mombasa kupewa hatimiliki ili kuzima migogoro ya ardhi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 30, 2025
2h ago
Serikali ya Kaunti ya Mombasa, imeanzisha mchakato wa kufadhili utoaji hati miliki kwa maskwota ili kuondoa taharuki na migogoro ya kila mara kuhusu umiliki wa ardhi eneo la Shanzu Kisauni.