Back to home
Watu 16 walifariki kwenye barabara ya Nakuru-Nairobi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 30, 2025
2h ago
Upasuaji wa miili kumi na nne ya watu waliofariki kwenye ajali ya siku ya jumapili eneo la kariandusi Kikopey kaunti ya Nakuru inaendelea Katika hospitali ya Gilgil kaunti ya Nakuru, sasa hivi miili ya watu sita ikiwa tayari imefanyiwa upasuaji