Back to home
Jamii ya Iteso imedumisha utamaduni na mila za jadi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 30, 2025
2h ago
Jamii ya Iteso inayopatikana Magharibi mwa Kenya ni mojawapo ya jamii chache humu nchini ambazo zinadumisha utamaduni na mila zao . Jamii hiyo inayoaminika kutoka nchini Ethiopia, ina idadi ya watu takriban laki sita Magharibi mwa Kenya na wenzao milioni tatu nukta tano mashariki