Back to home

Kina mama wengi washauriwa kujifungulia hospitalini Kajiado

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 30, 2025
2h ago
Ongezeko la vifo vya akina mama vinavyosababishwa na uvujaji wa damu wakati wa kujifungua vimeongezeka mno katika kaunti ya Kajiado. Hali hii iliwachochea washikadau wa sekta ya afya kuandaa matembezi na mbio za kuhamasisha jamii kuhakikisha wanawake wanajifungulia hospitalini kw