Back to home

Wanafunzi wa shule ya Litein waliorejea shuleni warejeshwa tena nyumbani

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 30, 2025
2h ago
Wanafunzi wa shule ya upili ya Litein kwa mara nyingine tena wamerejeshwa nyumbani baada ya kuonyesha ishara ya kuleta vurugu walipogundua kuwa mwalimu mkuu wa shule hiyo bado yupo.