Back to home
Wakaazi katika kaunti ya Wajir wasajili kupiga kura
video
C
Citizen TV (Youtube)September 30, 2025
2h ago
Kaunti ya Wajir sasa iko katika harakati za dharura za kuhamasisha wakaazi kujisajili kama wapiga kura, viongozi wakitaja ukubwa wa eneo na changamoto za kufikia raia wote wanaostahili kuwa changamoto kuu.