Back to home
Timu ya KCB yarejea kwenye ushindi baada ya kuichapa Kariobangi Sharks 1-0 kwenye ligi kuu
video
C
Citizen TV (Youtube)September 30, 2025
3h ago
Timu ya kandanda ya KCB FC imerejea kwenye ushindi katika ligi kuu ya taifa ya kandanda baada ya kuwafunga Kariobangi Sharks bao 1-0 katika mechi pekee ya ligi jumatatu alasiri.