Back to home
Wahuni wavamia wauguzi waliokua wanaandamana nje ya ofisi ya gavana Siaya
video
C
Citizen TV (Youtube)September 30, 2025
3h ago
Maandamano ya amani ya wauguzi nje ya ofisi ya gavana Siaya, yaligeuka kuwa vurugu baada ya wahuni waliokuwa na silaha kuwashambulia waandamanaji huku maafisa wa polisi wakitazama