Back to home
Mradi wa unyunyuzaji maji wa kilimo cha mboga umekwama kaunti ya Busia
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
2h ago
Wakulima katika wadi ya bukhayo kaskazini kaunti ya busia wanalalamikia kukwama kwa mradi wa unyunyuziji maji wa kilimo cha mboga na matunda ulioanzishwa na serikali ya kaunti hiyo miezi sita iliyopita. Ni mradi wa idara ya maji uliofadhiliwa na benki ya dunia katika kijiji cha b