Back to home

Vyama vya wahadhiri wa vyuo vikuu vyasisitiza mgomo wao utaendelea

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 1, 2025
1h ago
Wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma wameapa kutorejea darasani mapaka serikali iwajibike na kutekeleza makubaliano ya kuwalipa fedha wanazodai. Kupitia wasimamizi wa vyama vya wahadhiri na wafanyikazi wa vyuo vikuu, wahadhiri wanasema serikali imekuwa ikiweka ahadi na kuwapuuza kula