Back to home
Vijana waanzisha kampeni kuhimiza wenzao wajitokeze eneo bunge la Laikipia Magharibi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
2h ago
Kundi la vijana kutoka eneo mbunge la Laikipia Magharibi limeanzisha harakati za kuhamasisha vijana wenzao kutoka eneo hilo kujiandikisha kuwa wapigakura .