Back to home
Rais Ruto awataka viongozi kuchukua hatua kwa mustakabali wa taifa
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
1h ago
Rais William Ruto ameendelea kutetea maamuzi yake tata ambayo anasema yameleta maendeleo nchini, akiwarai viongozi kuchukua hatua zitakazoboresha mustakabali wa taifa