Back to home
Mipango ya mazishi ya watu 14 waliofariki kwenye ajali ya barabarani Kikopey yaanza
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
1h ago
Familia ya watu 14 walioangamia kwenye ajali ya barabarani jumapili iliyopita imeanza mipango ya mazishi, huku serikali ikiahidi kuwapiga jeki. Mkewe rais, Mama Racheal Ruto aliwaongoza viongozi kuifariji familia hii katika kaunti ya murang'a huku wizara ya afya ikijiandaa kutuma