Back to home
Waziri Murkomen asema serikali inawasaka wahalifu Nairobi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
2h ago
Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amesema kwamba oparesheni maalum ya kukamata magenge ya uhalifu katikati mwa jiji la Nairobi na mitaani tayari imeanzishwa na vitengo mbali mbali vya usalama. Akizungumza kwenye Jukwaa la Usalama katika kaunti ya Nairobi, waziri Murkomen ames