Back to home
Wanafunzi wa gredi ya 4 hadi 8 washiriki mashindano ya mijadala
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
2h ago
Huku mtaala wa CBE ukitarajiwa Kuingia Gredi ya 10 mwaka ujao, Wanafunzi ambao wanapania kuchagua mkondo wa sayansi ya jamii wanaendelea kutumia majukwaa ya mashindano ya mijadala na mazungumzo ya umma kunoa makali yao kabla ya kupanda ngazi ya gredi ya 10.