Back to home

Wawili wafariki wakiteka maji Kamangu, Kiambu

video
K
KTN News (Youtube)
October 2, 2025
4h ago
#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews Wanaume wawili wamefariki baada ya kuteleza na kuanguka ndani ya kisima cha maji katika kijiji cha Kamangu, eneo bunge la Kikuyu, Kaunti ya Kiambu. Wawili hao walikuwa wakiteka maji ya kunyunyizia mimea wakati mkas