Back to home
Wizara ya elimu kwenye darubini baada ya hali mbaya shuleni Chebonei, Narok
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
3h ago
Wizara ya elimu na viongozi jioni ya leo wanawekwa kwenye darubini kufuatia hali mbovu ya shule ya msingi na sekondari ya Chebonei katika eneobunge la Emurua Dikirr kaunti ya Narok. Mbali na miundo misingi mibaya ya kaunti hii, wanafunzi wengine walazimika kusomea hata jikoni kwa