Back to home
Msaidizi wa Rais Farouk Kibet atoa mchango wa ksh.5m katika shule ya Kosachei Adventist Uasin Gishu
video
C
Citizen TV (Youtube)October 3, 2025
2h ago
Hatimaye shule ya msingi ya Kosachei Adventist iliyoko eneo la Turbo kaunti ya Uasin Gishu, imepewa msaada wa shilingi millioni 5 za ujenzi wa miundomsingi ambayo imedorora. Shule hiyo imekuwa katika hali mbovu ya kutamausha.