Back to home
Uchunguzi wa mwili wa Allan Kamau aliyefariki katika kituo cha polisi cha Komomwamu Migori
video
C
Citizen TV (Youtube)October 3, 2025
2h ago
Uchunguzi wa mwili wa Allan Kamau, mkazi wa Isebania aliyepatikana amefariki katika kituo cha polisi cha Komomwamu ilithibitisha kuwa alifariki Kwa kunyongwa.