Back to home
Mwanafunzi wa gredi ya tisa anauguza majeraha mabaya Busia baada ya kupigwa na nguvu za umeme
video
C
Citizen TV (Youtube)October 3, 2025
2h ago
Mvulana mmoja mwenye umri wa miaka 15 anauguza majeraha mabaya katika hospitali moja mjini Busia baada ya kupigwa na nguvu za umeme alipokuwa akienda mtoni.