Back to home

Mtindo mpya ya wizi kwa kutumia magari ya kifahari Nairobi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 3, 2025
2h ago
Visa vya wizi vinaendelea kushuhudiwa hapa nairobi na viunga vyake huku wahalifu sasa wakitumia mbinu mpya kutekeleza wizi huo. Majambazi hawa wakitumia magari ya kifahari kuingia katika baadhi ya mitaa na kuiba kutoka kwa wakazi ambao hawako nyumbani. Ode francis alikuwa embakas