Back to home

Kongamano la Kenya Green Building Society (KGBS) laanza Nairobi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 3, 2025
2h ago
Kongamano la kila mwaka la Kenya Green Building Society (KGBS) na Green Expo 2025, kwa ushirikiano na benki ya KCB limeanza katika hoteli moja jijini Nairobi.