Back to home

Maafisa wa tume ya uchanguzi IEBC katika kaunti ya Kitui wamesihi wakazi kusajiliwa kupiga kura

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 3, 2025
2h ago
Maafisa wa tume ya uchanguzi IEBC katika kaunti ya Kitui wamesihi wakazi wenye vitambulisho kujitokeza na kujiandikisha kwa wingi katika ofisi zao.