Back to home

Idadi kubwa zaidi ya wanafunzi kufanya mitihani ya taifa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 3, 2025
2h ago
Idadi kubwa zaidi ya wanafunzi imeratibiwa kufanya mitihani ya taifa mwaka huu. Wanafunzi zaidi ya milioni 3.4 wakiwemo wale wa kidato cha nne, wa gredi ya sita na gredi ya tisa chini ya mtaala wa cbe, watafanya mitihani hiyo itakayoanza tarehe kumi na saba mwezi huu wa Oktoba. N