Back to home

Posta Rangers yadhibiti uongozi wa ligi ya kuu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 3, 2025
2h ago
Timu ya Posta Rangers imedhibiti nafasi ya kwanza kwenye ligi kuu ya taifa ya KPL baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na timu ya AFC Leopards. Leopards ilichukua uongozi mara mbili huku Posta ikisawazisha mara mbili. Kwenye mechi nyingine katika uwanja huo huo wa Dandora, Kakamega