Back to home

Ruto asema SHA inawafaidi wakenya wengi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 4, 2025
2h ago
Rais William Ruto ametetea utendakazi wa bima ya Afya, SHA, akisema Wakenya wengi wanafaidika kwa kupata matibabu maalum kinyume na ilivyokuwa katika bima ya NHIF. Akizungumza huko Vihiga katika ibada maalum ya kusherehekea miaka 100 ya kanisa la PAG, Rais Ruto aliahidi kwamba at