Back to home
Watu watano wakamatwa kwa ulaghai wa malipo ya SHA
video
C
Citizen TV (Youtube)October 4, 2025
2h ago
Tunaanza taarifa za nipashe wikendi kwa ulaghai wa malipo ya sha ambapo kituo kimoja cha afya vihiga kinachoarifiwa kudai shilingi milioni 4.9 badala ya malipo halali ya shilingi 18,000 ni miongoni mwa vituo ambavyo vimemulikwa na wachunguzi kwa kulaghai sha mabillioni ya pesa. K