Back to home

Maaskofu wawataka vijana wa nchi kutafuta suluhu za changamoto zinazokumba nchi

video
N
NTV Kenya (Youtube)
October 4, 2025
2h ago
Baraza la Maaskofu wa Kanisa la Katoliki wametoa wosia kwa vijana wa nchi wakitaka wajitolee kutafuta suluhu za changamoto zinazokumba nchi kama vile ufisadi, uongozi mbaya na ukabila. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyan