Back to home
Mtoto wa miaka miwili atoweka Kajiado katika kituo cha kutwa cha kulea watoto, familia yaomba msaada
video
C
Citizen TV (Youtube)October 5, 2025
3h ago
Familia moja eneo la Kisaju kaunti ya Kajiado inahangaika baada ya mtoto wao wa miaka miwili kupotea kutoka kituo cha kutwa cha kulea watoto. Mamake mtoto aliyetoweka anasema kuwa msimamisi wa kituo hicho aliondoka kumpelekea mwanawe chakula shuleni na kuwaacha watoto watano kitu