Back to home

Chama usambazaji wa dawa nchini chatoa onyo kuhusu upungufu wa dawa muhimu nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 5, 2025
3h ago
Chama cha wasambazaji dawa nchini kimetoa tahadhari kuhusu upungufu wa dawa muhimu. Chama hiki kikisema kuwa uhaba huu huenda ukasababishwa na hatua ya mtafaruku wa uagizaji dawa nchini, wanaosema utaathiri kuletwa nchini kwa zaidi ya dawa elfu 21