Back to home

KMPDU yadai zaidi ya watu 670 wamefariki Kiambu tangu mgomo wa madaktari kuanza

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 4, 2025
2h ago
Mvutano kati ya serikali ya kaunti ya Kiambu na madaktari unaendelea kutokota huku mgomo wao ukiingia mwezi wa tano. Muungano wa madaktari KMPDU sasa unataka serikali ya kaunti hiyo ivunjiliwe mbali, huku ukimtuhumu gavana Kimani Wamatangi kwa kutoshughulikia sekta ya afya. Na ka