Back to home
| Ukumbi | Biashara ndani ya COMESA [part 4]
video
C
Citizen TV (Youtube)October 6, 2025
2h ago
Je, wakenya wanaelewa jinsi ya kufanya biashara kupitia COMESA?
Je, masharti ya COMESA yanawafaa wafanyabiashara wadogo?
Je, soko la COMESA ni la wafanyabishaara wakubwa peke yao?
Tunaangazia soko la pamoja la mataifa ya Afrika Mashariki na Kusini