Back to home
NCCK yataka serikali kuwa makini na matatizo ya Meru
video
C
Citizen TV (Youtube)October 6, 2025
2h ago
Muungano wa Makanisa Nchini NCCK, umeomba Serikali na Mashirika ya kijamii kuangazia kwa kina visa vya Mimba za utotoni, Dhuluma za kijinsia, na Magonjwa ya Ukimwi na Saratani yanayoongezeka katika Kaunti ya Meru.
Wakizungumza Mjini Meru, viongozi wa NCCK ukanda wa Mashariki ya J