Back to home
Mkutano wa 18 wa maonyesho ya kilimo na biashara katika eneo la COMESA wafanyika Nairobi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 6, 2025
2h ago
Kenya imethibitisha ahadi yake ya kupanua mauzo ya nje ya nchi ya kilimo cha bustani na kuimarisha ushirikiano wa kikanda chini ya COMESA wakati viongozi, watunga sera, na watendaji wa sekta binafsi wanapokongamana katika mkutano wa 18 wa biashara na maonyesho ya COMESA jijini Na