Back to home
Kalonzo na Gachagua waanza ziara Ukambani, wahimiza vijana kujisajili kupiga kura
video
C
Citizen TV (Youtube)October 6, 2025
3h ago
Viongozi wa upinzani wakiongozwa Na Kalonzo Musyoka Na Rigathi Gachagua wameanza ziara yao eneo la Ukambani, wakifanya mikutano kaunti za Machakos na Kitui. Kwenye ziara hizo, wanasiasa hawa waliwahimiza vijana kujisajili kwa wingi kama wapiga kura ili kubadilisha uongozi na kumr