Back to home
Wanafunzi wa chuo cha Pwani wasema wataandamana
video
C
Citizen TV (Youtube)October 8, 2025
2h ago
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Pwani mjini Kilifi wametoa makataa ya saa 48 kwa serikali kuu kuwalipa wahadhiri wa vyuo vikuu nchini la sivyo waandamane.