Back to home
Washukiwa wawili wa wizi wa magari Kisumu waachiliwa kwa dhamana ya sh500,000
video
C
Citizen TV (Youtube)October 8, 2025
2h ago
Washukiwa wawili waliokamatwa kuhusiana na kashfa ya wizi wa magari Kisumu wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki tano na mdhamini wa kiasi sawia.